Read Zaburi Chapter 64 Online
Read Zaburi Chapter 64 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Zaburi and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
Zaburi 64
Sura 64
1. Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu na hofu ya adui.
2. Utanificha mbali na shauri la siri la watenda mabaya, Mbali na ghasia ya watu wafanyao maovu;
3. Waliounoa ulimi wao kama upanga, Wameielekeza mishale yao, maneno ya uchungu,
4. Wapate kumpiga mkamilifu faraghani, Kwa ghafula humpiga wala hawaogopi.
5. Walijifanya hodari katika jambo baya; Hushauriana juu ya kutega mitego; Husema, Ni nani atakayeiona?
6. Hutunga maovu; husema, Tumefanya shauri kamili; Na mawazo ya ndani ya kila mmoja wao, Na moyo wake, huwa siri kabisa.
7. Kwa hiyo Mungu atawapiga shabaha, Kwa mshale mara watapigwa.
8. Ndivyo watakavyokwazwa, Ulimi wao wenyewe ukishindana nao. Wote wawaonao watatikisa kichwa.
9. Na watu wote wataogopa, Wataitangaza kazi ya Mungu, Na kuyafahamu matendo yake.
10. Mwenye haki atamfurahia Bwana na kumkimbilia, Na wote wenye moyo wa adili watajisifu.
About Zaburi Chapter 64
Read Zaburi Chapter 64 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: Zaburi
Chapter: 64
Testament: Old Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Zaburi. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading Zaburi Chapter 64 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is Zaburi Chapter 64?
Zaburi Chapter 64 is part of the Book of Zaburi in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete Zaburi Chapter 64 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from Agano la Kale
- Zaburi Chapter 1
- Habakuki Chapter 3
- Ayubu Chapter 1
- Zaburi Chapter 2
- Kutoka Chapter 11
- Kutoka Chapter 2
- Ayubu Chapter 4
Explore More from Zaburi
- Zaburi Chapter 90
- Zaburi Chapter 122
- Zaburi Chapter 62
- Zaburi Chapter 42
- Zaburi Chapter 101
- Zaburi Chapter 2
- Zaburi Chapter 61