Zaburi Chapter 25

For English

Read Zaburi Chapter 25 Online

Read Zaburi Chapter 25 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Zaburi and the Holy Bible online.

Choose a Chapter

Zaburi 25

Sura 25

1. Ee Bwana, nakuinulia nafsi yangu,

2. Ee Mungu wangu, Nimekutumaini Wewe, nisiaibike, Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.

3. Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja; Wataaibika watendao uhaini bila sababu.

4. Ee Bwana, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako,

5. Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha. Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu, Nakungoja Wewe mchana kutwa.

6. Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani.

7. Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee Bwana kwa ajili ya wema wako.

8. Bwana yu mwema, mwenye adili, Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.

9. Wenye upole atawaongoza katika hukumu, Wenye upole atawafundisha njia yake.

10. Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake.

11. Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi.

12. Ni nani amchaye Bwana? Atamfundisha katika njia anayoichagua.

13. Nafsi yake itakaa hali ya kufanikiwa; Wazao wake watairithi nchi.

14. Siri ya Bwana iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.

15. Macho yangu humwelekea Bwana daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu.

16. Uniangalie na kunifadhili, Maana mimi ni mkiwa na mteswa.

17. Katika shida za moyo wangu unifanyie nafasi, Na kunitoa katika dhiki zangu.

18. Utazame teso langu na taabu yangu; Unisamehe dhambi zangu zote.

19. Uwatazame adui zangu, maana ni wengi, Wananichukia kwa machukio ya ukali.

20. Unilinde nafsi yangu na kuniponya, Nisiaibike, maana nakukimbilia Wewe.

21. Ukamilifu na unyofu zinihifadhi, Maana nakungoja Wewe.

22. Ee Mungu, umkomboe Israeli, Katika taabu zake zote.

About Zaburi Chapter 25

Read Zaburi Chapter 25 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.

Book Information

Book: Zaburi
Chapter: 25
Testament: Old Testament

How to Read this Chapter

Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Zaburi. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.

https://www.youtube.com/watch?v=rzsT_Q3KLzE

More Resources

Continue Reading the Bible

Continue reading Zaburi Chapter 25 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.

Frequently Asked Questions

What is Zaburi Chapter 25?

Zaburi Chapter 25 is part of the Book of Zaburi in the Holy Bible.

Can I read this chapter online?

Yes. You can read the complete Zaburi Chapter 25 online for free with easy chapter navigation.

More Chapters from Agano la Kale

  1. Isaya Chapter 1
  2. Isaya Chapter 6
  3. Isaya Chapter 2
  4. Isaya Chapter 3
  5. Isaya Chapter 14
  6. Isaya Chapter 7
  7. Isaya Chapter 16

Explore More from Zaburi

  1. Zaburi Chapter 53
  2. Zaburi Chapter 21
  3. Zaburi Chapter 70
  4. Zaburi Chapter 54
  5. Zaburi Chapter 85
  6. Zaburi Chapter 76
  7. Zaburi Chapter 125

Related Chapters & Readings

  1. Kutoka Chapter 8
  2. 2 Wakorintho Chapter 9
  3. Isaya Chapter 25
  4. 1 Wakorintho Chapter 16
  5. Esta Chapter 1
  6. Yeremia Chapter 50
  7. 1 Mambo ya Nyakati Chapter 26
Share Your Love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *