Zaburi Chapter 96

For English

Read Zaburi Chapter 96 Online

Read Zaburi Chapter 96 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Zaburi and the Holy Bible online.

Choose a Chapter

Zaburi 96

Sura 96

1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Mwimbieni Bwana, nchi yote.

2. Mwimbieni Bwana, libarikini jina lake, Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.

3. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake.

4. Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana. Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.

5. Maana miungu yote ya watu si kitu, Lakini Bwana ndiye aliyezifanya mbingu.

6. Heshima na adhama ziko mbele zake, Nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake.

7. Mpeni Bwana, enyi jamaa za watu, Mpeni Bwana utukufu na nguvu.

8. Mpeni Bwana utukufu wa jina lake, Leteni sadaka mkaziingie nyua zake.

9. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu, Tetemekeni mbele zake, nchi yote.

10. Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki; Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, Atawahukumu watu kwa adili.

11. Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo,

12. Mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo, Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha;

13. Mbele za Bwana, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi. Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.

About Zaburi Chapter 96

Read Zaburi Chapter 96 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.

Book Information

Book: Zaburi
Chapter: 96
Testament: Old Testament

How to Read this Chapter

Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Zaburi. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.

https://www.youtube.com/watch?v=rzsT_Q3KLzE

More Resources

Continue Reading the Bible

Continue reading Zaburi Chapter 96 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.

Frequently Asked Questions

What is Zaburi Chapter 96?

Zaburi Chapter 96 is part of the Book of Zaburi in the Holy Bible.

Can I read this chapter online?

Yes. You can read the complete Zaburi Chapter 96 online for free with easy chapter navigation.

More Chapters from Agano la Kale

  1. Zaburi Chapter 1
  2. Habakuki Chapter 3
  3. Ayubu Chapter 1
  4. Zaburi Chapter 2
  5. Kutoka Chapter 11
  6. Kutoka Chapter 2
  7. Ayubu Chapter 4

Explore More from Zaburi

  1. Zaburi Chapter 91
  2. Zaburi Chapter 125
  3. Zaburi Chapter 106
  4. Zaburi Chapter 137
  5. Zaburi Chapter 17
  6. Zaburi Chapter 128
  7. Zaburi Chapter 73

Related Chapters & Readings

  1. Mika Chapter 1
  2. Yohana Chapter 5
  3. Ayubu Chapter 15
  4. Isaya Chapter 55
  5. Danieli Chapter 6
  6. Ayubu Chapter 7
  7. Isaya Chapter 1
Share Your Love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *