Zaburi Chapter 58

For English

Read Zaburi Chapter 58 Online

Read Zaburi Chapter 58 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Zaburi and the Holy Bible online.

Choose a Chapter

Zaburi 58

Sura 58

1. Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili?

2. Sivyo! Mioyoni mwenu mnatenda maovu; Katika nchi mnapima udhalimu wa mikono yenu.

3. Wasio haki wamejitenga tangu kuzaliwa kwao; Tangu tumboni wamepotea, wakisema uongo.

4. Sumu yao, mfano wake ni sumu ya nyoka; Mfano wao ni fira kiziwi azibaye sikio lake.

5. Asiyeisikiliza sauti ya waganga, Ijapo wanafanya uganga kwa ustadi.

6. Ee Mungu, uyavunje meno yao vinywani mwao; Ee Bwana, uyavunje magego ya wana-simba.

7. Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi; Akiielekeza mishale yake, iwe imetiwa ubutu.

8. Kama konokono ayeyukaye na kutoweka, Kama mimba iliyoharibika, isiyoliona jua,

9. Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo moto.

10. Mwenye haki atafurahi akionapo kisasi; Ataiosha miguu yake katika damu ya wasio haki.

11. Na mwanadamu atasema, Hakika iko thawabu yake mwenye haki. Hakika yuko Mungu Anayehukumu katika dunia.

About Zaburi Chapter 58

Read Zaburi Chapter 58 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.

Book Information

Book: Zaburi
Chapter: 58
Testament: Old Testament

How to Read this Chapter

Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Zaburi. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.

https://www.youtube.com/watch?v=rzsT_Q3KLzE

More Resources

Continue Reading the Bible

Continue reading Zaburi Chapter 58 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.

Frequently Asked Questions

What is Zaburi Chapter 58?

Zaburi Chapter 58 is part of the Book of Zaburi in the Holy Bible.

Can I read this chapter online?

Yes. You can read the complete Zaburi Chapter 58 online for free with easy chapter navigation.

More Chapters from Agano la Kale

  1. Isaya Chapter 1
  2. Isaya Chapter 6
  3. Isaya Chapter 2
  4. Isaya Chapter 14
  5. Isaya Chapter 3
  6. Isaya Chapter 7
  7. Isaya Chapter 8

Explore More from Zaburi

  1. Zaburi Chapter 119
  2. Zaburi Chapter 137
  3. Zaburi Chapter 13
  4. Zaburi Chapter 26
  5. Zaburi Chapter 70
  6. Zaburi Chapter 18
  7. Zaburi Chapter 77

Related Chapters & Readings

  1. Mwanzo Chapter 50
  2. Matendo ya Mitume Chapter 18
  3. Mwanzo Chapter 44
  4. Yona Chapter 1
  5. 2 Wafalme Chapter 14
  6. Zaburi Chapter 27
  7. Ezekieli Chapter 16
Share Your Love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *