Read Zaburi Chapter 52 Online
Read Zaburi Chapter 52 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Zaburi and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
Zaburi 52
Sura 52
1. Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo sikuzote.
2. Ulimi wako watunga madhara, Kama wembe mkali, Ewe mwenye hila
3. Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema kweli.
4. Umependa maneno yote ya kupoteza watu, Ewe ulimi wenye hila.
5. Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai.
6. Nao wenye haki wataona; Wataingiwa na hofu na kumcheka;
7. Kumbe! Huyu ndiye mtu yule, Asiyemfanya Mungu kuwa nguvu zake. Aliutumainia wingi wa mali zake, Na kujifanya hodari kwa madhara yake.
8. Bali mimi ni kama mzeituni Umeao katika nyumba ya Mungu. Nazitumainia fadhili za Mungu milele na milele.
9. Nitakushukuru milele kwa maana umetenda; Nitalingojea jina lako kwa kuwa ni jema; Mbele ya wacha Mungu wako.
About Zaburi Chapter 52
Read Zaburi Chapter 52 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: Zaburi
Chapter: 52
Testament: Old Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Zaburi. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading Zaburi Chapter 52 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is Zaburi Chapter 52?
Zaburi Chapter 52 is part of the Book of Zaburi in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete Zaburi Chapter 52 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from Agano la Kale
- Zaburi Chapter 1
- Habakuki Chapter 3
- Ayubu Chapter 1
- Zaburi Chapter 2
- Kutoka Chapter 11
- Kutoka Chapter 2
- Ayubu Chapter 4
Explore More from Zaburi
- Zaburi Chapter 122
- Zaburi Chapter 33
- Zaburi Chapter 124
- Zaburi Chapter 64
- Zaburi Chapter 106
- Zaburi Chapter 15
- Zaburi Chapter 12