Read Zaburi Chapter 132 Online
Read Zaburi Chapter 132 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Zaburi and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
Zaburi 132
Sura 132
1. Bwana, umkumbukie Daudi Taabu zake zote alizotaabika.
2. Ndiye aliyemwapia Bwana, Akaweka nadhiri kwa Shujaa wa Yakobo.
3. Sitaingia hemani mwa nyumba yangu, Wala sitapanda matandiko ya kitanda changu;
4. Sitaacha macho yangu kuwa na usingizi, Wala kope zangu kusinzia;
5. Hata nitakapompatia Bwana mahali, Na Shujaa wa Yakobo maskani.
6. Tazama, tulisikia habari zake katika Efrata, Katika konde la Yearimu tuliiona.
7. Na tuingie katika maskani yake, Tusujudu penye kiti cha kuwekea miguu yake.
8. Ee Bwana, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako.
9. Makuhani wako na wavikwe haki, Watauwa wako na washangilie.
10. Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, Usiurudishe nyuma uso wa masihi
11. Bwana amemwapia Daudi neno la kweli, Hatarudi nyuma akalihalifu, Baadhi ya wazao wa mwili wako Nitawaweka katika kiti chako cha enzi.
12. Wanao wakiyashika maagano yangu, Na shuhuda nitakazowafundisha; Watoto wao nao wataketi Katika kiti chako cha enzi milele.
13. Kwa kuwa Bwana ameichagua Sayuni, Ameitamani akae ndani yake.
14. Hapo ndipo mahali pangu pa raha milele, Hapo nitakaa kwa maana nimepatamani.
15. Hakika nitavibariki vyakula vyake Wahitaji wake nitawashibisha chakula.
16. Na makuhani wake nitawavika wokovu, Na watauwa wake watashangilia.
17. Hapo nitamchipushia Daudi pembe, Na taa nimemtengenezea masihi wangu.
18. Adui zake nitawavika aibu, Bali juu yake taji yake itasitawi.
About Zaburi Chapter 132
Read Zaburi Chapter 132 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Zaburi in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: Zaburi
Chapter: 132
Testament: Old Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Zaburi. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading Zaburi Chapter 132 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is Zaburi Chapter 132?
Zaburi Chapter 132 is part of the Book of Zaburi in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete Zaburi Chapter 132 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from Agano la Kale
- Zaburi Chapter 1
- Habakuki Chapter 3
- Ayubu Chapter 1
- Zaburi Chapter 2
- 1 Samweli Chapter 1
- Kutoka Chapter 11
- Kutoka Chapter 2
Explore More from Zaburi
- Zaburi Chapter 128
- Zaburi Chapter 126
- Zaburi Chapter 30
- Zaburi Chapter 122
- Zaburi Chapter 150
- Zaburi Chapter 45
- Zaburi Chapter 36