Read Ayubu Chapter 17 Online
Read Ayubu Chapter 17 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Ayubu in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Ayubu and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
Ayubu 17
Sura 17
1. Roho yangu imezimika, siku zangu zimekoma, Kaburi i tayari kunipokea.
2. Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.
3. Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana?
4. Kwani mioyo yao imeificha ufahamu; Kwa hiyo hutawakuza.
5. Awafitiniye rafiki zake wawe mawindo, Hata macho ya watoto wake yataingia kiwi.
6. Amenifanya niwe simo kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa kwa wazi.
7. Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na via vyangu vyote vimekuwa kama kivuli.
8. Walekevu watayastaajabia hayo, Na asiye na hatia atajiamsha juu ya mpotovu.
9. Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu.
10. Lakini rudini; ninyi nyote, njoni sasa; Wala sitampata mtu mwenye hekima kati yenu.
11. Siku zangu zimepita, makusudi yangu yamevunjika, Hata hayo niliyo nayo moyoni mwangu.
12. Wabadili usiku kuwa mchana; Wasema, Mwanga u karibu kwa sababu ya giza.
13. Nikitazamia kuzimu kuwa nyumba yangu; Nikitandika malazi yangu gizani;
14. Ikiwa nimeuita uharibifu, Wewe u baba yangu; Na kuliambia buu, Wewe u mama yangu, na umbu langu;
15. Basi, tumaini langu li wapi? Na tumaini langu, ni nani atakayeliona?
16. Litashuka kwenye makomeo ya kuzimu, Itakapokuwapo raha mavumbini.
About Ayubu Chapter 17
Read Ayubu Chapter 17 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Ayubu in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: Ayubu
Chapter: 17
Testament: Old Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Ayubu. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading Ayubu Chapter 17 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is Ayubu Chapter 17?
Ayubu Chapter 17 is part of the Book of Ayubu in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete Ayubu Chapter 17 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from Agano la Kale
- Zaburi Chapter 1
- Habakuki Chapter 3
- Ayubu Chapter 1
- Zaburi Chapter 2
- Kutoka Chapter 11
- Kutoka Chapter 2
- Ayubu Chapter 4
Explore More from Ayubu
- Ayubu Chapter 33
- Ayubu Chapter 1
- Ayubu Chapter 18
- Ayubu Chapter 40
- Ayubu Chapter 22
- Ayubu Chapter 27
- Ayubu Chapter 7