Read 1 Mambo ya Nyakati Chapter 25 Online
Read 1 Mambo ya Nyakati Chapter 25 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of 1 Mambo ya Nyakati in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of 1 Mambo ya Nyakati and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
1 Mambo ya Nyakati 25
Sura 25
1. Tena Daudi na maakida wa jeshi wakatenga kwa utumishi baadhi ya wana wa Asafu, na wa Hemani, na wa Yeduthuni, watakaotabiri kwa vinubi na vinanda, na matoazi; hii ndiyo hesabu ya wafanya kazi sawasawa na utumishi wao;
2. wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme.
3. Wa Yeduthuni; wana wa Yeduthuni; Gedalia, na Seri, na Yeshaya, na Hashabia, na Matithia, [na Shimei], watu sita; walioamriwa na baba yao Yeduthuni mwenye kinubi, aliyetabiri katika kumshukuru na kumsifu Bwana.
4. Wa Hemani; wana wa Hemani; Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli, na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti, na Romanti-ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri, Mahaziothi;
5. hao wote ndio wana wa Hemani, mwonaji wa mfalme, kwa maneno ya Mungu, ili kuinua pembe. Naye Mungu akampa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.
6. Hao wote waliamriwa na baba yao, waimbe nyumbani mwa Bwana, wakiwa na matoazi, vinanda, na vinubi, kwa utumishi wa nyumba ya Mungu; Asafu, Yeduthuni, na Hemani wakiwa wanaamriwa na mfalme.
7. Na hesabu yao, pamoja na ndugu zao waliofundishwa kumwimbia Bwana, wote waliokuwa wastadi, walikuwa mia mbili na themanini na wanane.
8. Wakatupiwa kura ya ulinzi wao, sawasawa wote, mdogo kwa mkubwa, mwalimu kwa mwanafunzi.
9. Kura ya kwanza ikamtokea Yusufu, kwa Asafu; ya pili Gedalia; yeye na nduguze na wanawe, kumi na wawili;
10. ya tatu Zakuri, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
11. ya nne Seri, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
12. ya tano Nethania, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
13. ya sita Bukia, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
14. ya saba Asharela, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
15. ya nane Yeshaya, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
16. ya kenda Matania wanawe na nduguze, kumi na wawili;
17. ya kumi Shimei, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
18. ya kumi na moja Uzieli, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
19. ya kumi na mbili Hashabia, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
20. ya kumi na tatu Shebueli, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
21. ya kumi na nne Matithia, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
22. ya kumi na tano Yeremothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
23. ya kumi na sita Hanania, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
24. ya kumi na saba Yoshbekasha, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
25. ya kumi na nane Hanani, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
26. ya kumi na kenda Malothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
27. ya ishirini Eliatha, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
28. ya ishirini na moja Hothiri, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
29. ya ishirini na mbili Gidalti, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
30. ya ishirini na tatu Mahaziothi, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
31. ya ishirini na nne Romanti-ezeri, wanawe na nduguze, kumi na wawili.
About 1 Mambo ya Nyakati Chapter 25
Read 1 Mambo ya Nyakati Chapter 25 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of 1 Mambo ya Nyakati in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: 1 Mambo ya Nyakati
Chapter: 25
Testament: Old Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading 1 Mambo ya Nyakati. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading 1 Mambo ya Nyakati Chapter 25 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is 1 Mambo ya Nyakati Chapter 25?
1 Mambo ya Nyakati Chapter 25 is part of the Book of 1 Mambo ya Nyakati in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete 1 Mambo ya Nyakati Chapter 25 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from 1-mambo-ya-nyakati
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 17
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 6
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 2
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 1
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 15
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 28
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 23
Explore More from Agano la Kale
- Mithali Chapter 17
- 2 Wafalme Chapter 9
- Zekaria Chapter 6
- 1 Mambo ya Nyakati Chapter 21
- Mika Chapter 3
- 2 Mambo ya Nyakati Chapter 34
- Mwanzo Chapter 48