Read 3 Yohana Chapter 1 Online
Read 3 Yohana Chapter 1 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of 3 Yohana in the New Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of 3 Yohana and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
3 Yohana 1
Sura 1
1. Mzee, kwa Gayo mpenzi, nimpendaye katika kweli.
2. Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.
3. Maana nalifurahi mno walipokuja ndugu na kuishuhudia kweli yako, kama uendavyo katika kweli.
4. Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.
5. Mpenzi, kazi ile ni ya uaminifu uwatendeayo hao ndugu na hao wageni nao,
6. waliokushuhudia upendo wako mbele ya kanisa; utafanya vizuri ukiwasafirisha kama ipasavyo kwa Mungu.
7. Kwa maana, kwa ajili ya Jina hilo, walitoka, wasipokee kitu kwa Mataifa.
8. Basi imetupasa sisi kuwakaribisha watu kama hao, ili tuwe watenda kazi pamoja na kweli.
9. Naliliandikia kanisa neno, lakini Diotrefe, apendaye kuwa wa kwanza kati yao, hatukubali.
10. Kwa hiyo, nikija, nitayakumbuka matendo yake atendayo, atoavyo upuzi juu yetu kwa maneno maovu; wala hatoshwi na hayo, ila yeye mwenyewe hawakaribishi hao ndugu, na wale watakao kuwakaribisha, huwazuia, na kuwatoa katika kanisa.
11. Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu.
12. Demetrio ameshuhudiwa na watu wote, tena na ile kweli yenyewe. Nasi pia twashuhudia, nawe wajua ya kwamba ushuhuda wetu ni kweli.
13. Nalikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu.
14. Lakini nataraji kukuona karibu, nasi tutasema uso kwa uso. [15] Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake.
About 3 Yohana Chapter 1
Read 3 Yohana Chapter 1 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of 3 Yohana in the New Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: 3 Yohana
Chapter: 1
Testament: New Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading 3 Yohana. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading 3 Yohana Chapter 1 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is 3 Yohana Chapter 1?
3 Yohana Chapter 1 is part of the Book of 3 Yohana in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete 3 Yohana Chapter 1 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from 3 Yohana
Explore More from Agano Jipya
- 1 Wakorintho Chapter 6
- Wafilipi Chapter 2
- 1 Petro Chapter 3
- 1 Yohana Chapter 3
- Mathayo Chapter 25
- Warumi Chapter 7
- 1 Wakorintho Chapter 9