1 Wathesalonike Chapter 1

For English

Read 1 Wathesalonike Chapter 1 Online

Read 1 Wathesalonike Chapter 1 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of 1 Wathesalonike in the New Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of 1 Wathesalonike and the Holy Bible online.

Choose a Chapter

1 Wathesalonike 1

Sura 1

1. Paulo, na Silwano, na Timotheo, kwa kanisa la Wathesalonike, lililo katika Mungu Baba, na katika Bwana Yesu Kristo. Neema na iwe kwenu na amani.

2. Twamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu nyote, tukiwataja katika maombi yetu.

3. Wala hatuachi kuikumbuka kazi yenu ya imani, na taabu yenu ya upendo, na saburi yenu ya tumaini lililo katika Bwana wetu Yesu Kristo, mbele za Mungu Baba yetu.

4. Kwa maana, ndugu mnaopendwa na Mungu, twajua uteule wenu;

5. ya kwamba injili yetu haikuwafikia katika maneno tu, bali na katika nguvu, na katika Roho Mtakatifu, na uthibitifu mwingi; kama vile mnavyojua jinsi zilivyokuwa tabia zetu kwenu, kwa ajili yenu.

6. Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu.

7. Hata mkawa kielelezo kwa watu wote waaminio katika Makedonia, na katika Akaya.

8. Maana kutoka kwenu neno la Mungu limevuma, si katika Makedonia na Akaya tu, ila na kila mahali imani yenu mliyo nayo kwa Mungu imeenea; hata hatuna haja sisi kunena lo lote.

9. Kwa kuwa wao wenyewe wanatangaza habari zetu, jinsi kulivyokuwa kuingia kwetu kwenu; na jinsi mlivyomgeukia Mungu mkaziacha sanamu, ili kumtumikia Mungu aliye hai, wa kweli;

10. na kumngojea Mwanawe kutoka mbinguni, ambaye alimfufua katika wafu, naye ni Yesu, mwenye kutuokoa na ghadhabu itakayokuja.

About 1 Wathesalonike Chapter 1

Read 1 Wathesalonike Chapter 1 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of 1 Wathesalonike in the New Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.

Book Information

Book: 1 Wathesalonike
Chapter: 1
Testament: New Testament

How to Read this Chapter

Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading 1 Wathesalonike. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.

https://www.youtube.com/watch?v=rzsT_Q3KLzE

More Resources

Continue Reading the Bible

Continue reading 1 Wathesalonike Chapter 1 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.

Frequently Asked Questions

What is 1 Wathesalonike Chapter 1?

1 Wathesalonike Chapter 1 is part of the Book of 1 Wathesalonike in the Holy Bible.

Can I read this chapter online?

Yes. You can read the complete 1 Wathesalonike Chapter 1 online for free with easy chapter navigation.

More Chapters from 1-wathesalonike

  1. 1 Wathesalonike Chapter 3
  2. 1 Wathesalonike Chapter 2
  3. 1 Wathesalonike Chapter 4
  4. 1 Wathesalonike Chapter 5

Explore More from Agano Jipya

  1. Yohana Chapter 4
  2. Yohana Chapter 19
  3. Mathayo Chapter 27
  4. Matendo ya Mitume Chapter 22
  5. Warumi Chapter 13
  6. 2 Petro Chapter 3
  7. Luka Chapter 8

Related Chapters & Readings

  1. Yoshua Chapter 24
  2. Zaburi Chapter 104
  3. Ezekieli Chapter 15
  4. Hesabu Chapter 27
  5. Wakolosai Chapter 1
  6. Zaburi Chapter 19
  7. Zaburi Chapter 79
Share Your Love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *