Yona Chapter 2

For English

Read Yona Chapter 2 Online

Read Yona Chapter 2 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Yona in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Yona and the Holy Bible online.

Choose a Chapter

Yona 2

Sura 2

1. Ndipo Yona akamwomba Bwana, Mungu wake, katika tumbo la yule samaki,

2. Akasema, Nalimlilia Bwana kwa sababu ya shida yangu, Naye akaniitikia; Katika tumbo la kuzimu naliomba, Nawe ukasikia sauti yangu.

3. Maana ulinitupa vilindini, Ndani ya moyo wa bahari; Gharika ya maji ikanizunguka pande zote; Mawimbi yako yote na gharika zako zote zimepita juu yangu.

4. Nami nikasema, Nimetupwa mbali na macho yako; Lakini nitatazama tena kukabili hekalu lako takatifu.

5. Maji yalinizunguka, hata nafsini mwangu; Vilindi vilinizunguka; Mwani ulikizinga kichwa changu;

6. Nalishuka hata pande za chini za milima; Hiyo nchi na mapingo yake yalinifunga hata milele; Lakini umeipandisha nafsi yangu kutoka shimoni, Ee Bwana, Mungu wangu,

7. Roho yangu ilipozimia ndani yangu, Nalimkumbuka Bwana; Maombi yangu yakakuwasilia, Katika hekalu lako takatifu.

8. Watu waangaliao mambo ya ubatili na uongo Hujitenga na rehema zao wenyewe;

9. Lakini mimi nitakutolea sadaka kwa sauti ya shukrani; Nitaziondoa nadhiri zangu. Wokovu hutoka kwa Bwana.

10. Bwana akasema na yule samaki, naye akamtapika Yona pwani.

About Yona Chapter 2

Read Yona Chapter 2 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Yona in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.

Book Information

Book: Yona
Chapter: 2
Testament: Old Testament

How to Read this Chapter

Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Yona. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.

https://www.youtube.com/watch?v=rzsT_Q3KLzE

More Resources

Continue Reading the Bible

Continue reading Yona Chapter 2 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.

Frequently Asked Questions

What is Yona Chapter 2?

Yona Chapter 2 is part of the Book of Yona in the Holy Bible.

Can I read this chapter online?

Yes. You can read the complete Yona Chapter 2 online for free with easy chapter navigation.

More Chapters from Agano la Kale

  1. Zaburi Chapter 1
  2. Habakuki Chapter 3
  3. Ayubu Chapter 1
  4. Zaburi Chapter 2
  5. Kutoka Chapter 11
  6. Kutoka Chapter 2
  7. Ayubu Chapter 4

Explore More from yona

  1. Yona Chapter 3
  2. Yona Chapter 3
  3. Yona Chapter 4
  4. Yona Chapter 2
  5. Yona Chapter 4
  6. Yona Chapter 1
  7. Yona Chapter 1

Related Chapters & Readings

  1. Kutoka Chapter 24
  2. Zaburi Chapter 16
  3. Ezekieli Chapter 1
  4. Isaya Chapter 59
  5. 2 Wafalme Chapter 20
  6. Zaburi Chapter 55
  7. Isaya Chapter 37
Share Your Love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *