Waebrania Chapter 5

For English

Read Waebrania Chapter 5 Online

Read Waebrania Chapter 5 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Waebrania in the New Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Waebrania and the Holy Bible online.

Choose a Chapter

Waebrania 5

Sura 5

1. Maana kila kuhani mkuu aliyetwaliwa katika wanadamu amewekwa kwa ajili ya wanadamu katika mambo yamhusuyo Mungu, ili atoe matoleo na dhabihu kwa ajili ya dhambi;

2. awezaye kuwachukulia kwa upole wao wasiojua na wenye kupotea, kwa kuwa yeye mwenyewe yu katika hali ya udhaifu;

3. na kwa sababu hiyo imempasa, kama kwa ajili ya watu, vivyo hivyo kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi.

4. Na hapana mtu ajitwaliaye mwenyewe heshima hii, ila yeye aitwaye na Mungu, kama vile Haruni.

5. Vivyo hivyo Kristo naye hakujitukuza nafsi yake kufanywa kuhani mkuu, lakini yeye aliyemwambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.

6. kama asemavyo mahali pengine, Ndiwe kuhani wa milele Kwa mfano wa Melkizedeki.

7. Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;

8. na, ingawa ni Mwana, alijifunza kutii kwa mateso hayo yaliyompata;

9. naye alipokwisha kukamilishwa, akawa sababu ya wokovu wa milele kwa watu wote wanaomtii;

10. kisha ametajwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kwa mfano wa Melkizedeki.

11. Ambaye tuna maneno mengi ya kunena katika habari zake; na ni shida kuyaeleza kwa kuwa mmekuwa wavivu wa kusikia.

12. Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.

13. Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.

14. Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.

About Waebrania Chapter 5

Read Waebrania Chapter 5 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Waebrania in the New Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.

Book Information

Book: Waebrania
Chapter: 5
Testament: New Testament

How to Read this Chapter

Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Waebrania. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.

https://www.youtube.com/watch?v=rzsT_Q3KLzE

More Resources

Continue Reading the Bible

Continue reading Waebrania Chapter 5 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.

Frequently Asked Questions

What is Waebrania Chapter 5?

Waebrania Chapter 5 is part of the Book of Waebrania in the Holy Bible.

Can I read this chapter online?

Yes. You can read the complete Waebrania Chapter 5 online for free with easy chapter navigation.

More Chapters from Agano Jipya

  1. Waebrania Chapter 1
  2. Waebrania Chapter 6
  3. Waebrania Chapter 4
  4. Ufunuo wa Yohana Chapter 1
  5. Waebrania Chapter 11
  6. Waebrania Chapter 10
  7. Waebrania Chapter 3

Explore More from waebrania

  1. Waebrania Chapter 11
  2. Waebrania Chapter 3
  3. Waebrania Chapter 10
  4. Waebrania Chapter 1
  5. Waebrania Chapter 9
  6. Waebrania Chapter 8
  7. Waebrania Chapter 2

Related Chapters & Readings

  1. Zaburi Chapter 97
  2. 2 Wafalme Chapter 12
  3. 2 Mambo ya Nyakati Chapter 13
  4. Zaburi Chapter 34
  5. Ezra Chapter 5
  6. Nehemia Chapter 12
  7. Kutoka Chapter 30
Share Your Love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *