Read Waebrania Chapter 1 Online
Read Waebrania Chapter 1 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Waebrania in the New Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Waebrania and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
Waebrania 1
Sura 1
1. Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,
2. mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.
3. Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;
4. amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.
5. Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?
6. Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu malaika wote wa Mungu.
7. Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto.
8. Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
9. Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
10. Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako;
11. Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo,
12. Na kama mavazi utazizinga, nazo zitabadilika; Lakini wewe u yeye yule, Na miaka yako haitakoma.
13. Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako?
14. Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?
About Waebrania Chapter 1
Read Waebrania Chapter 1 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Waebrania in the New Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: Waebrania
Chapter: 1
Testament: New Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Waebrania. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading Waebrania Chapter 1 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is Waebrania Chapter 1?
Waebrania Chapter 1 is part of the Book of Waebrania in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete Waebrania Chapter 1 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from Agano Jipya
- Waebrania Chapter 5
- Waebrania Chapter 6
- Waebrania Chapter 3
- Ufunuo wa Yohana Chapter 15
- Waebrania Chapter 4
- Waebrania Chapter 2
- Yohana Chapter 1
Explore More from waebrania
- Waebrania Chapter 2
- Waebrania Chapter 13
- Waebrania Chapter 3
- Waebrania Chapter 9
- Waebrania Chapter 6
- Waebrania Chapter 10
- Waebrania Chapter 5