Read Mithali Chapter 2 Online
Read Mithali Chapter 2 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Mithali in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Mithali and the Holy Bible online.
Choose a Chapter
Mithali 2
Sura 2
1. Mwanangu, kama ukiyakubali maneno yangu, Na kuyaweka akiba maagizo yangu;
2. Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu;
3. Naam, ukiita busara, Na kupaza sauti yako upate ufahamu;
4. Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika;
5. Ndipo utakapofahamu kumcha Bwana, Na kupata kumjua Mungu.
6. Kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;
7. Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu;
8. Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.
9. Ndipo utakapofahamu haki na hukumu, Na adili, na kila njia njema.
10. Maana hekima itaingia moyoni mwako, Na maarifa yatakupendeza nafsi yako;
11. Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi.
12. Ili kukuokoa na njia ya uovu, Na watu wanenao yaliyopotoka;
13. Watu waziachao njia za unyofu, Ili kuziendea njia za giza;
14. Wafurahio kutenda mabaya; Wapendezwao na upotoe wa waovu;
15. Waliopotoka katika njia zao; Walio wakaidi katika mapito yao.
16. Ili kuokoka na malaya, Naam, malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake;
17. Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake.
18. Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu.
19. Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja, Wala hawazifikilii njia za uzima.
20. Ili upate kwenda katika njia ya watu wema, Na kuyashika mapito ya wenye haki.
21. Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake.
22. Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa.
About Mithali Chapter 2
Read Mithali Chapter 2 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Mithali in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.
Book Information
Book: Mithali
Chapter: 2
Testament: Old Testament
How to Read this Chapter
Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Mithali. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.
More Resources
Continue Reading the Bible
Continue reading Mithali Chapter 2 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.
Frequently Asked Questions
What is Mithali Chapter 2?
Mithali Chapter 2 is part of the Book of Mithali in the Holy Bible.
Can I read this chapter online?
Yes. You can read the complete Mithali Chapter 2 online for free with easy chapter navigation.
More Chapters from Agano la Kale
- Isaya Chapter 1
- Isaya Chapter 6
- Isaya Chapter 2
- Isaya Chapter 14
- Isaya Chapter 3
- Isaya Chapter 8
- Isaya Chapter 7
Explore More from mithali
- Mithali Chapter 10
- Mithali Chapter 14
- Mithali Chapter 22
- Mithali Chapter 19
- Mithali Chapter 27
- Mithali Chapter 26
- Mithali Chapter 6