Mhubiri Chapter 11

For English

Read Mhubiri Chapter 11 Online

Read Mhubiri Chapter 11 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Mhubiri in the Old Testament. Browse every verse with easy chapter navigation, continue to the next chapter, or explore the complete Book of Mhubiri and the Holy Bible online.

Choose a Chapter

Mhubiri 11

Sura 11

1. Tupa chakula chako usoni pa maji; Maana utakiona baada ya siku nyingi.

2. Uwagawie sehemu watu saba, hata wanane; Maana hujui baa gani litakalokuwa juu ya nchi.

3. Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi; Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini, Paangukapo ule mti, papo hapo utalala.

4. Mwenye kuuangalia upepo hatapanda; Naye ayatazamaye mawingu hatavuna.

5. Kama vile wewe usipojua njia ya upepo ni ipi, wala jinsi mifupa ikuavyo tumboni mwake mja mzito; kadhalika huijui kazi ya Mungu, afanyaye mambo yote.

6. Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiuzuie mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, kama ni hii au hii, au kama zote zitafaa sawasawa.

7. Kweli nuru ni tamu, tena ni jambo la kupendeza macho kutazama jua.

8. Naam, mtu akiishi miaka mingi, na aifurahie yote; lakini na azikumbuke siku zijazo za giza, kwa maana zitakuwa nyingi. Mambo yote yajayo ni ubatili.

9. Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na katika maono ya macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni.

10. Kwa hiyo ondoa majonzi moyoni mwako, nawe uuondoe ubaya mwilini mwako; kwa maana ujana ni ubatili, na utu uzima pia.

About Mhubiri Chapter 11

Read Mhubiri Chapter 11 online from the Holy Bible. This chapter is part of the Book of Mhubiri in the Old Testament. Continue reading with the chapter navigation above or explore the complete book.

Book Information

Book: Mhubiri
Chapter: 11
Testament: Old Testament

How to Read this Chapter

Use the Previous and Next Chapter buttons to continue reading Mhubiri. You can also adjust the font size for comfortable reading and browse other books of the Bible using the navigation links.

https://www.youtube.com/watch?v=rzsT_Q3KLzE

More Resources

Continue Reading the Bible

Continue reading Mhubiri Chapter 11 and explore every book, chapter and verse of the Holy Bible. Use the navigation links above and below to move through the Scriptures with ease.

Frequently Asked Questions

What is Mhubiri Chapter 11?

Mhubiri Chapter 11 is part of the Book of Mhubiri in the Holy Bible.

Can I read this chapter online?

Yes. You can read the complete Mhubiri Chapter 11 online for free with easy chapter navigation.

More Chapters from Agano la Kale

  1. Zaburi Chapter 1
  2. Habakuki Chapter 3
  3. Ayubu Chapter 1
  4. Zaburi Chapter 2
  5. Kutoka Chapter 11
  6. Kutoka Chapter 2
  7. Ayubu Chapter 4

Explore More from mhubiri

  1. Mhubiri Chapter 6
  2. Mhubiri Chapter 10
  3. Mhubiri Chapter 7
  4. Mhubiri Chapter 5
  5. Mhubiri Chapter 3
  6. Mhubiri Chapter 9
  7. Mhubiri Chapter 2

Related Chapters & Readings

  1. Waamuzi Chapter 17
  2. Ezekieli Chapter 27
  3. Yeremia Chapter 36
  4. Mambo ya Walawi Chapter 2
  5. 1 Wakorintho Chapter 10
  6. Mwanzo Chapter 47
  7. Mithali Chapter 18
Share Your Love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *